Siku yako ikianza kiuvivu vivu, moyo wako usizembee. Muda unaenda pole pole na maisha yanakuwa ndivyo sivyo. Ni nyakati kama hizi ambapo ladha ya kuburudisha ya Coca-Cola baridi ndiyo unayohitaji kuamsha mdundo wako. Kwa hivyo basi, ongeza sauti, Jiachie na washa mdundo wako #BurudikaPopote na uhakikishe wewe na washkaji zako hampitwi na mdundo.