Mambo 10 usiyojua kuhusu Avril

Namba 4 litakushangaza

Majibu kuhusu Avril anajiskiaje kuhusu hili ni kama vile sekunde ya 1.49 ya video yake mpya iitwayo Uko? Umm… usijaribu kumchezea.

Mdada Avril alianza kwa kusitasita kujaribu tasnia ya muziki alipokwa mwaka wa pili chuoni. Alikuwa ni sauti nzuri, tamu na inayovutia vijana

Lakini muda ulimfanya kama sonara mbunifu anavyoifanya almasi nzuri kuanza nayo. Alimtengeneza na kumfanya avutie Zaidi,

Sauti yake, ambayo ilianza kama utamu, kwa uwoga mdada huyu alimuomba mama yake aelewe kuwa amezama mapenzini, amekuwa silaha ambayo itakusimamisha na kutazama changamoto za mwanamke anayeishi mbele ya macho ya watu.

Sio mgeni wa Coke Studio Africa, na hata ukiangalia mng’ao wa macho yake, unaweza kuina kuna kitu tofauti anacholeta mezani kwenye Coke Studio msimu wa 5.

Kinachompa ujasiri Zaidi ni kwamba yeye ni Zaidi ya ulimwengu wa kuimba na kucheza. Pia ni muigizaji mahiri, muandishi na ameweza kuwa na msimamo kupinga vijembe vya mtandaoni.

Na moto wote alionao, bado ni mkarimu kwa wale anaokutana nao, akaiwemo Izzo Bizness, ambaye alimfundisha jinsi ya kupika chakula walipokuwa wakirekodi Coke Studio Africa.

Ni jasiri lakini pia ni mara nyingine huwa kinyume chake; muwazi na mwenye kushangaza.

Avril. Tamka jina hilo kwa tahadhari. Kuwa mkarimu – inaweza kuwa ‘Avie way’ au ‘Highway’