NYEPESI NYEPESI
-
Eddy Kenzo on new album & love for music
Eddy Kenzo ni aina ya mwanamuziki ambaye anavaa uhusika na kucheza upande wa furaha na upande wa Maisha ya kawaida ya mwananchi wa Uganda.
-
Kutana Naye producer Gospelondebeatz
Tuna mtayarishaji nyota wa muziki GospelOnDeBeatz akizungumza na Coke Studio kwa mara ya kwanza kuhusu yeye na muziki wake.
-
Kutana na Nasty C
Kutana na Nasty C. Kusema ni mdogo inategemea na mwaka gani ulizaliwa, na sio kitu kila mmoja angependa kuongelea, au sio?
-
AKA on his mega Coke Studio return
“Nimekuwa nikifanya kazi kwa miaka mingi kufikia hapa.
-
Tanzanian BET Winner on his Coke Studio Debut
Msanii utoka Tanzania anayehisiwa kama msanii anaekua kwa haraka Zaidi barani Afrika kwa sasa.
-
MAFIKIZOLO KWENYE MIAKA 20
Kundi kongwe la muziki nchini Afrika Kusini la Mafikizolo linalounganishwa na Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wanaaingia ndani ya Coke Studio mwaka 2017, wakishirikiana na rapa Nyashinski.
-
Vitu vitano unapaswa kufahamu kuhusu Izzo Bizness
Ni kijana mwenye swaga na na anayekua kwa kasi Zaidi kwenye umaarufu.
-
Yemi Eberechi Alade, Ghen Ghen Babe na binti waki Yoruba
Malkia wa kupendeza, kiongozi wa kucheza, malkia wa kuimba, muuaji wa biti, muiba nyoyo,na anaechukua pumzi.
-
Dakika Kumi na King Kiba
Muimbaji na muandishi wa muziki Alikiba maarufu kama King Kiba kama ambavyo mashabiki zake wanamuita, ni mmoja kati ya wasanii wakubwa Afrika Mashariki.
-
Mambo 10 usiyojua kuhusu Avril
Majibu kuhusu Avril anajiskiaje kuhusu hili ni kama vile sekunde ya 1.49 ya video yake mpya iitwayo Uko?
-
Chidinma katika safari yake ya muziki
Mwanamuziki mashuhuri nchini Nigeria ajulikanae kama Chidinma aka Miss Kedike, amerudi tena kwenye coke studio Afrika kwa mara ya nne mwaka huu akishirikiana na wasanii mahiri kutoka Kenya wanounda kundi la Sauti Sol.
-
Patoranking kuhusu muziki, Coke Studio & Tuzo
Studio & Tuzo Pantoranking ni mshindi wa tuzo nyingi nchini Nigeria,mwimbaji na pia ni mwandishi wa muziki aliejipatia umaarufu kupitia remix ya Girlie O.
-
Producer MasterKraft akizungumza kwanini Coke studio ni kitu bora Afrika
Mwaka 2017,Masterkraft amerudi katika Coke Studio Africa akiwa na waandaji wengine saba mahiri wa muziki ndani barani Afrika.